United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
DSTV kitu HD 225[emoji16][emoji16][emoji16] Unachekia DSTV au Azam?
Mnachekia wp, DSTV au Azamasa Si Ndio game ya kuangalia Senegal wa Nin huyo sikashapita watu tunataka kuona Cameroon akitoka
Yeah japo midamida tunarudi kumcheki ManeHumu inaelekea wengi mnaangalia game la Gambia ee
Hata sisi watanzania hatuna upuuzi huu wa kiwango cha lamiShida ya uafrika tu hiyo, uharibifu mkubwa sana wamefanya
Iko clear kinoumaaaDSTV kitu HD 225
Shukrani Bro..DSTV kitu HD 225
Naona wanakoswakoswa balaaila cameroon wanatia huruma kama Taifa stars
Kwan imekuajee? [emoji23][emoji23][emoji23]Taifa Staaaaaaz hoyeeee....
😁😁😁😁 private Jet ishawashwa nasikiaNi dharau kubwa kumweka benchi goalkeeper anayachezea manchester united
Hii cameroon apigwa tu asepe
[emoji23][emoji23][emoji23]ila cameroon wanatia huruma kama Taifa stars
pressure yakutoka ni kubwa kuliko kupita hawajiamini kabisaNaona wanakoswakoswa balaa
Nimewamiss tuu...hahahhaKwan imekuajee? [emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahaShukrani Bro.. View attachment 2880797
Potezea huo ujumbe mshahara ukiingia nitalipa
January nina hela basi?Hahahaha
Saivi ukilipia wanaku upgrade
watoke tu ili makubwa yabaki machache tupate Bigwa wa ajabu kama mwaka 2012Ni dharau kubwa kumweka benchi goalkeeper anayachezea manchester united
Hii cameroon apigwa tu asepe
Wakaze mafuvu lasivo watalia kama Ivory janapressure yakutoka ni kubwa kuliko kupita hawajiamini kabisa