2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Hii nayo ni michuano takataka Best loser ya Nin Mpira wa kishamba sana huu Tena wakizamani
EURO 2016 ilikuwa katika mtindo huu. Portugal [emoji1201] walipita kama best looser kwa ku draw match zote kwa maana walikiwa na points 3 na wakawa wa 3 katika kundi lao.

Baada ya hapo kilichobaki ni Historia. Walibeba Ndoo
 
Kwanini hawaangalii magoli ya kufungwa?
Hapo sasa ni katika kutafuta tu mmoja wa kwenda na kuepuka kurusha shilingi, mkiwa mna points sawa,goal difference sawa then kinachoamua ni magoli ya kufunga
Hapa nadhani ni kutokana na ugumu wa kufunga magoli ulivyo hivyo timu yenye uwezo wa kufunga magoli mengi ni bora kuliko inayoruhusu kufungwa magoli machache

Hiyo inatumiwa na Almost vyama vyote vya soka duniani kwenye kuamua nani awe juu baada ya kulingana points na goal difference
 
Ahsante Sana timu ya senegalaise kwa ushindi mzuri,

hongera kwa vijana wa Cameruon kwa kufanya " come back " ya nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…