2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Kundi lao timu 3 zimesonga mbele yaani Senegal, Cameroon na Guinea sababu hizi timu 2 zenye pointi 4 mpaka sasa hakuna aliyenazo kwa makundi yaliyomaliza mechi.

Ivory Coast bado wanaendelea kuomba dua itokee miujiza kwa makundi yaliyobakia
Hii nayo ni michuano takataka Best loser ya Nin Mpira wa kishamba sana huu Tena wakizamani
 
IMG_9572.jpeg
 
Hii nayo ni michuano takataka Best loser ya Nin Mpira wa kishamba sana huu Tena wakizamani
Hesabu ni rahisi sana hata mtoto wa chekechekea kwenye shule nzuri anaweza.

Makundi yapo A, B, C, D, E & F, ina maana yapo makundi 6 na kila kundi lina timu 4, timu 2 za mwanzo kwa kila kundi zitatoka timu 2 zitafanya kuwa na timu 12.

Sasa unategemea hizo timu 12 zicheze zenyewe?

Zikicheza zenyewe zitatoka timu 6 na zitabakia timu 6. Ebu fikirisha akili yako.

GOD BLESS ISRAEL.

Cc. FaizaFoxy
 
Cameroun tumepita kibabe hapa hakuna tena wa kutuzuia wakitaka hata senegal waje Round of 16
 
Huyu kocha wa Cameroon mbona kama daz Baba
Hesabu ni rahisi sana hata mtoto wa chekechekea kwenye shule nzuri anaweza.

Makundi yapo A, B, C, D, E & F, ina maana yapo makundi 6 na kola kundi lina timu 4, timu 2 za mwanzo kwa kila kundi zitatoka timu 2 za mwanzo zitafanya kuwa na timu 12.

Sasa unategemea hizo timu 12 zicheze wenyewe?

Zikicheza wenyewe zitatoka timu 6 na zitabakia timu 6. Ebu fikirisha akili yako.

GOD BLESS ISRAEL.

Cc. FaizaFoxy
unanifundisha kitu ambacho nakifahamu najua ili upate timu 16 lazima uwe na Timu 32 nimeanza kucheki mpira kitambo sana point yangu ilikua kwanin wasiweke timu zote 32
 
Back
Top Bottom