Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Mechi ya Senegal na Guinea inaboa sana kila dakka watu wanakatana tu kama wanacheza mipira ya mchangani,
Hii senegal 16 bora atapita Maan hiyo hatua bado kunakuwaga na mabaki ya wajinga kadhaa ila Robo fainali hatoboi anatolewa.
Sababu iliyonifanya niseme hivyo ni kwanza wanacheza mno rafu zisizo na msingi hii itakuja kuwafany wapate Red mechi muhimu,
Kitu cha pili ...... Hawawez kabsa kuunda shambulizi kutokea katikati na hat wakijaribu kufanya hivyo huishia kupoteza mipira wenyew mpira wao ni pembeni tu, Siku wakikkutana na timu itakayowabana Vizuri pembeni shughuli yao imeishia hapo, kweny defense wapo vizuri ila wanakata mno itawacost
Mnaoshabiki Senegal mjipange kisaikolojia Msiseme hamkuambiwa hii timu Nusu fainali haifiki.