2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Nani anamuweka benchi Mahrez tena?
Na juzi tu hapa waalgeria waligomea tuzo za caf kisa Mahrez hakuwemo kwenye 3 bora ya mchezaji bora Africa, leo wao ndio wanamuanzisha benchi kwenye mechi muhimu ya maamuzi ya kusonga mbele
 
Yule mjinga kashindwa kwenda na kasi ya Ki, angempa haraka ile assist yangekuwa mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…