Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Sasa YANGA kaingiaje hapa mkuu 🤣🤣Game ya saizi Nasimama na Angola, hawa vijana wa Angola hawajui tu ushindi wao una umuhimu gani huku Ardhi ya Tanzania.
Angola Mtusaidie kuzima kelele zinazotarajiwa kuibuka nawaombeni.