Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Huyu dirisha kubwa hatuko nae jangwani huyuMimi nimeuliza hapa, ana mpango wa kubaki Yanga kweli huyu? Hizi pasi za EPL zinatunyima raha Wananchi.
likewise Bukinabe todayWale walijichanganya wenyewe
Hii nchi huyu mama imemshinda tumia tu web au app kucheki mpiraDaah yaani nakosa mechi kali hizi kisa umeme kwelii?
Leo bukinabe anashinda hiilikewise Bukinabe today
Angola na Burkina Faso draw ya 0-0 au 1-1 halafu Algeria akashinda watakuwa kwenye hata,wote points zitalingana halafu sasa mwenye magoli mengiHao wanatafuta Draw hawana tabu.
Ngumu sana.Leo bukinabe anashinda hii
Kwa Ile pas sio yakukosa goli jamaa kazengua sanaMimi nimeuliza hapa, ana mpango wa kubaki Yanga kweli huyu? Hizi pasi za EPL zinatunyima raha Wananchi.
Hakina Azizi K walishasonga mbele, wana points 4 kabla ya mechi ya leo.Nimeyaona.
Angola tunafanya yetu mapema sana.
Bado mkuu.Hakina Azizi K walishasonga mbele
Ulicheki game yao na Algeria na Mauritania?Hawana kitu hao kina mabululu fc
Hawana kitu hao kina mabululu fcNgumu sana.
Angola usiwachukulie poa
Akifungwa na Angola halafu Algeria ashinde labda wasonge ugaliHakina Azizi K walishasonga mbele, wana points 4 kabla ya mechi ya leo.
Hapana, wameshasonga mbele, watakuwa na pointi 4Bado mkuu.
Wakipigwa wanalala yoo
Kambaaa mabululuCheki hiyo faulo.
inajaa
na imejaa kweliCheki hiyo faulo.
inajaa