uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
labda washinde njaaBukina wanashinda hii game
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
labda washinde njaaBukina wanashinda hii game
labda washinde njaaBukina wanashinda hii game
Huwenda kesho na sisi tunaweza kufanya kituAfCON ya mwaka huu hatari. Tusio na bahati ni sisi tu wanyonge wa CCM
Embu mtag tumuulize
WameyatimbaWamechezea nafasi golini wanatetemeka kama Makolo Vs Wydad, sasa watazijutia.
Huwenda kesho na sisi tunaweza kufanya kitu
Mungu ni wetu soteHuwenda kesho na sisi tunaweza kufanya kitu
Mabululu ni KIBU aliechangamka🤣🤣Mabululu amecopy lile goli la Kibu
Duh kazi ipo aisee😁🤣Mauritania na Yeye,
Anaongoza.
DK 40'
Mauritania 1 - 0 Algeria
Kwani lazima mtuhusisheWamechezea nafasi golini wanatetemeka kama Makolo Vs Wydad, sasa watazijutia.
Mauritania wanasaidia, bado matumaini yapo.Ngoma ishakuwa Ng'anya hii
Ila kesho nipo home team yangu RD Congo 😁🤣Mungu ni wetu sote