2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Kuna fujo hapa.
Algeria na Mauritania.
Refa anaingilia kati.
wote wawili wanakula Yello
 
haturuhusiwi kusema vbaya ila.kwa mpira wa leo wa hawa ndugu

sitaki kuficha nafsi yangu bingwa wa afcon 2024 n Senegal again

hawa ngande wengine wanasindikiza tu

wapili moroco

watatu....ntarudibadaaee
 
IMG_9577.jpeg
 
Back
Top Bottom