Hahahaa mkuu sio wakatili kihivyo bwanaTunakupa dk 5 tu tunakata tena mkuu
🤣😁Yanga mmeisikia huko au bado? Hii ndio faida nyingine ya kusajili wachezaji wakubwa, wanaitangaza klabu kimataifa!
Kwani Mhasibu wetu anasemaje?
Lazima alie, mpunga wao umeenda bureHuyu kocha wa Algeria mbona analia kabla hata ya game kukamilika [emoji3][emoji3]
🤣😁😁Huyu kocha wa Algeria mbona analia kabla hata ya game kukamilika [emoji3][emoji3]
Naunga mkono hojaLazima alie, mpunga wao umeenda bure
Jamaa anatoa assist sehemu ambazo anaweza kupiga mshuti.Mi mwenyewe ndio nilikuwa nawaza hivyo, huu sasa ujinga.
Asisst karibu 10 hakuna goli?
Halafu huyu si ndio anavuta mpunga mrefu kuliko makocha wote Afcon, bila shaka anawaza kupoteza kazi January hiiLazima alie, mpunga wao umeenda bure
Ndio yeye.Halafu huyu si ndio anavuta mpunga mrefu kuliko makocha wote Afcon, bila shaka anawaza kupoteza kazi January hii
Yaani mwamba kavurugwa mapema kwelii [emoji3][emoji3][emoji1787][emoji16][emoji16]
Mechi ikiisha kazi Hana Leo leoHalafu huyu si ndio anavuta mpunga mrefu kuliko makocha wote Afcon, bila shaka anawaza kupoteza kazi January hii
Duh aiseeMauritania wanakosa utulivu hapa.
kupiga cha pili
Kazidi urefu huyu hatatufaaHuyu kipa wa Mauritania ana kitu.
Simba tunaye huyu