Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
E Guinea na Cape Verde wameisha tinga robo.Mfano mpira ukadunda kwenye matope leo Tukipita Mafarao yanatungojea
View attachment 2881911
Sio timu ya kunifanya nikae hadi saa 5 usiku, wafungwe tu.Kizimkazi Stars View attachment 2881897
UN kam Chadema 😅😅😅Mpite kwenda wapi?
Nawaza labda Congo kwakuwa mnawakodishiaga wanajeshi wenu wanaweza kuwaonea huruma ilaa hamnaa, lazima mlipuliwe [emoji16][emoji16]
Mfano mpira ukadunda kwenye matope leo Tukipita Mafarao yanatungojea
View attachment 2881911
Best loser hatutoboiKote kote kugumu, tukipita kwa best loser ni pagumu unakutana na Senegal, na tukipita kwa nafasi ya pili Misri wanatusubiri
Wana point 4 namibia hawana wanachokisubiria hapo. Anayesubiria kwasasa ni Ivory coast ambao wana point tatu na deni la magoli matatu
Mpite kwenda wapi?
Hii Afcon ina maajabu yakeE Guinea na Cape Verde wameisha tinga robo.
Tungojee mpira dakika 90😅Ngumu kumeza hapa.
Congolese hapa 😁 since day 1, sijawahi waelewa TS.Mbona unaongea kama umeukana uraia wa Tanganyika [emoji23][emoji23][emoji23]
Congolese hapa 😁 since day 1, sijawahi waelewa TS.Mbona unaongea kama umeukana uraia wa Tanganyika [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu shida nini leo 🤣Nawaza labda Congo kwakuwa mnawakodishiaga wanajeshi wenu wanaweza kuwaonea huruma ilaa hamnaa, lazima mlipuliwe 😁😁
Nilichanganya yeah Namibia amepita Anaesubiria ni Ivory coastWana point 4 namibia hawana wanachokisubiria hapo. Anayesubiria kwasasa ni Ivory coast ambao wana point tatu na deni la magoli matatu