Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Mkuu umebeti nn. ?🤣Hizi game jau sana zimepooza sijui kama watafungana hawa ibilisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umebeti nn. ?🤣Hizi game jau sana zimepooza sijui kama watafungana hawa ibilisi
Liwale.Duuh wapi huko?
Subirini tuu ila mimi naenda kulala..leo mmempa muhindi fwedha za bure..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear nshampa ba tamu hela yangu na ashanibettia, hapa nasubiri fungu langu kutoka kwa muhindi.
Dua Zenu Fc, kesho kituo ni Kipawa airport. Woiiiiih
Tuko kwenye burudani ya mpira kupunguza machungu ya hiyo sukari,usiongelee hiyo sukari apa,utatupandisha kisukariSukari kilo SHS 7500.
Poleni wana liwale mnaupiga mwingiLiwale.
🤣🤣🤣Tuko kwenye burudani ya mpira kupunguza machungu ya hiyo sukari,usiongelee hiyo sukari apa,utatupandisha kisukari
Sisi Wasafwa asili yetu ni Congo(Google). Nina ndugu anaitwa Mayele(Ukweli kabisa). Mungu wabariki WacongoWacongoman tunawaamini
Mungu awabariki 🔥🔥🔥
Sio utani. Hii Nchi kama ni gari basi Dereva kaachia Usukani.🤦🤦Poleni wana liwale mnaupiga mwingi
Sema vizuri fisiemu wanakamilisha ratibaLeo mnakamilisha ratiba sio
Acheni uongo. Ukute umetulia kwa shemeji hapo hujui hata mambo yanakwendaje kwa Mangi.Sukari kilo SHS 7500.
Mkuu ipi hiyo?Hizi game jau sana zimepooza sijui kama watafungana hawa ibilisi
Daah sahiv waarabu hakuna maajabu mkuu.Tunisia out
Guinea.Best Losers, Namibia, Mauritania, nani wengine wawili?