Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusubiri saa tano mkuu tutaona maajabuHakuna Dua mkuu hakuna Dua.
Tunahitaj kuonesha uwezo uwezo uwezo.
Mpr wa back pass hlf uombe Dua utafunga vp ss wkt mpr mnacheza kwny half yenu badala ya wapinzan?
Unatukumbusha ukiwa wapi ndugu mtabiri?Kabla hata Mechi za Afcon hazijaanza Page ya Kwanza ya huu Uzi nilisema hili, Nawakumbusha Tu.
Yan hakuna watu wajinga kama kocha na team yake.. Ww mnaongoza watu wako nusu ivi hata kama hauna akil unaweza cheza mpr wa kurudisha nyuma kweli?Ila ule uchezaji wa kurudisha mipira nyuma sijui nani aliwafundisha aisee.
Ni wa kiwaki.
Wangeshinda ile game Leo wangekuwa na matumaini ya kupenya hata kama wangepigwa
Maajabu kiongoz yatakuja tukionesha tu uwezo.Tusubiri saa tano mkuu tutaona maajabu
SerikaliNa nani?
Napata mashaka hawa nao safari inawez wakuta mapema tu.Tunisia XIView attachment 2881782
Ngoja tuoneNapata mashaka hawa nao safari inawez wakuta mapema tu.
tanesco wamepiga sehemu nyingi nadhan, kimara tuko gizani toka saa 12Hivi huu umeme ni sehemu zote, ama ni huku tu?
Wewe unaangalia mechi ipi hiyo?.Mechi ya sauzi kama imepoa
Tazama ya maliWewe unaangalia mechi ipi hiyo?.