OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Aliyefanya scouting ya wachezaji TAIFA STARS akapimwe akili maana ikitokea tumefuzu hatuna kipa wa kupangua penati yule dogo wa simba angetufaa sana pia mzize angetufaa sana hata kelvin kijiri angetufaa sana hata kibabage angekuwepo kungekua na uafadhali. sasa kwa mfano samata kaumia unamuingiza nani?