BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Ila wee jamaa 🤣🤣Wanavyoingia haraka haraka kama huwajui unaweza sema!! wako serious na game
Congo wazee wa CobaltKabumbu on Airrrrrrr
wapo hadi kina litombo
Lols wametishaaaaaawapo hadi kina litombo
Na wala hawana wasiwasi mbele ya Bakari NondoHyu NGWISA na KAKUTA Wana jambo lao Leo Naona wanagongeana sana
HahahahaNa wala hawana wasiwasi mbele ya Bakari Nondo
Kapiga kama Kibu.Samatta 🤣🤣
Butubutu upelekea kuchoka sanaYani hii Tz ni kwamba haitaki kukaa na mpira, ama nini? Yani mtu akikabwa kidogo tu suluhisho ni kuubutua mpira mbele bila kujali utamkuta nani, matokeo yake kila muda mpira anakuwa nao Congo bila kuuhangaikia.
Ivory Coast vp mkuu!!!?