2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Yani hii Tz ni kwamba haitaki kukaa na mpira, ama nini? Yani mtu akikabwa kidogo tu suluhisho ni kuubutua mpira mbele bila kujali utamkuta nani, matokeo yake kila muda mpira anakuwa nao Congo bila kuuhangaikia.
 
Back
Top Bottom