OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Nani ajiuzuru kwa mtia stress ShadeeyaRafiki yangu kwa Taifa Stars ile ya Sitiresi uzalendo ulinishinda eti.
Hapa tunaganga ya 16 bora rafiki japo mwenyeji analo tena, anaenda kupambana na Senegal.
Siku serikali ikipiga marufuku biashara hiyo unayofanya hata wewe utatamani maandamano mkuu
Wa Ghana watamind sana
Nimecheka sanaHuko Algeria Mahrez na wazee wenzake wengine 7 wamestaafu. Samatta wetu alianza kucheza kabla ya Mahrez, lakini bado yupo yupo sana
AFCON 2023 hii ni tamu sana kwakweliAfter the end of the group stage:
• 36 matches played
• 16 draws
• 20 wins
• 89 goals
• 120 yellow cards
• 4 red cards
• 11 penalties; 9 scored, 2 missed
• 3 own goals
• 2.7 Goals scored per game
Breakdown of goals scored per group:
-group A: 16 goals
-group B: 22 goals
-group C: 17 goals
-group D: 15 goals
-group E: 9 goals
-group F: 10 goals
• Team with maximum points (9) — Senegal
• Teams in the knockout but without a win — Egypt and DR Congo
• First knockout round qualification — Mauritania and Namibia
• Games without any booking
1. Tunisia v Namibia
2. South Africa v Tunisia
• Hat-trick
Emilio Nsue — Equatorial Guinea
• Brace
1. Lamine Camara [emoji1211]
2. Baghdad Bounedjah [emoji1026]
3. Dala Gelson [emoji1029]
4. Jordan Ayew [emoji1110]
5. Emilio Nsue [emoji1095]
6. Mohammed Kudus [emoji1110]
7. Themba Zwane [emoji1221]
Mkuu Leo wanacheza saa11 mechi ya kwanza?Mechi za leoView attachment 2884627
Huku ni saa 2 usiku hio game ya Namibia au?Mechi za leoView attachment 2884627
Saa 2 usiku kule kwao inasoma saa 11 jioniMkuu Leo wanacheza saa11 mechi ya kwanza?
Ndiyo ni saa mbili usiku.Huku ni saa 2 usiku hio game ya Namibia au?