2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Bora tutoke ili tupone kuona hii eyesore kwa mara nyingine. Unaweza sema watu wamepatwa red eyes kumbe ni kuangalia mpira mbovu wa stars
 
Hawa wapuuz Ivory Cost wanafurahia kupita kama Best looser.

Wkt wanakutana na Senegal [emoji23]... Team yao yenyw mbovu wanatafuta aibu tu na kung'oa tena viti.
 
Commentator wa SS anaongea ukweli sana, hatuna mipango, tutafungaje na hatushambulii, tumeingia vita ya bunduki na Switchblade..anashangaa mabeki 3 wanamark no one bádala ya kwenda mbele.

Daaah sijui kwa nini tumeingia hii Michuano, bora angepita Uganda.
Yan tunaonekana kama kituko.. Yan ujinga wetu ndo umefny had leo tumetoka kuanzia tu Game ya Zambia.
 
Back
Top Bottom