Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Watanzania wavivu sana, yaani sana. Mpira wao unachosha mno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wame mkodiiiMama joy leo yupo Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora tutoke ili tupone kuona hii eyesore kwa mara nyingine. Unaweza sema watu wamepatwa red eyes kumbe ni kuangalia mpira mbovu wa stars
Halafu watu wanataka timu ifuzu 16 bora🤣No ON Target mpaka sasa.
Aibu sana.
Match 2 tumeshindwa kupata ON Target
Yan tunaonekana kama kituko.. Yan ujinga wetu ndo umefny had leo tumetoka kuanzia tu Game ya Zambia.Commentator wa SS anaongea ukweli sana, hatuna mipango, tutafungaje na hatushambulii, tumeingia vita ya bunduki na Switchblade..anashangaa mabeki 3 wanamark no one bádala ya kwenda mbele.
Daaah sijui kwa nini tumeingia hii Michuano, bora angepita Uganda.
Ingekua kiukwl mambo ya fedheha hata kwa waandaji wa michuano.Halafu watu wanataka timu ifuzu 16 bora[emoji1787]
Kabla hata AFCON mechi hazijaanza page ya kwanza kabsa kwenye huu uzi nilisema Tanzania atamaliza na Point 2 na Egypt atabeba ubingwa.Tanzania tunamaliza na point 2, Bingwa atakuwa Egypt,
Nilifikiri angeenda kuangalia mechi ya Morocco[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wame mkodiii
[emoji23][emoji23][emoji23] yuko na kizimkazi FCNilifikiri angeenda kuangalia mechi ya Morocco