2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Jamaa ana bahati mbaya sana hajawahi kushine timu ya taifa. Mdogo wake alijiongeza vizuri yuko timu ya taifa ya Spain. Kaka mtu kiwango na umri hawezi pata namba pale Spain huku alikochagua nako anazingua tu
Dogo anaupiga mwingi sana pale spain.
 
Hii game kiingilio bure ama !!! Maana naona raia wamejaa, sitaki kuamini kwamba wamelipa kiingilio kuja kutazama takoling za kina Hamad Masauni.na mikimbio ya kina Mbwana Samata.
 
Stars tangu mwanzo wangekuwa wanacheza hivi walau tungekuwa na point
Team ingekuwa chini ya waalimu hawa tangu mwazo tusingepangiwa kile kikosi tulichoanza nacho, cha kina Mombwa, Mnoga na waarabu wanaocheza daraja la tano huko nje.

Imewachukua mechi moja tu kujua ni team gani waanze nayo na matokeo yake ndio haya, hatupigi mpira mzuri sana ila ni afadhali kuliko tulivyoanza.
 
Hatuna shoot on-target hata moja mkuu mpaka sasa.

Hii timu sijui ni Kocha au wachezaji uwezo mdogo kule mbele.
 
Back
Top Bottom