Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwezo mdogo wa wachezaji kule mbele, kila wakifika wanakosa mipango wanaanza upya kwa back passes.Hatuna shoot on-target hata moja mkuu mpaka sasa.
Hii timu sijui ni Kocha au wachezaji uwezo mdogo kule mbele.
Na bila kujua sisi tunahitaj goal.Hivi morroco na Mgunda wanategemea goli litapatikana wapi kama kila tukishambulia hakuna mchezaji ndani ya box la mpinzani?
Tunaishia kubutua na kupoteza mipira tu, hakuna mchezaji anafanya mikimbio nyuma ya defense yao
Tunacheza kama tushavuka.Hivi morroco na Mgunda wanategemea goli litapatikana wapi kama kila tukishambulia hakuna mchezaji ndani ya box la mpinzani?
Tunaishia kubutua na kupoteza mipira tu, hakuna mchezaji anafanya mikimbio nyuma ya defense yao
Ni ujinga wetu kupoteza game yetu na Zambia.Tunacheza kama tushavuka.
Peleka wachezaji mbele, hatuna chakupoteza kwa sasa.
We unataka washinde wao wanataka wasifungwe mengi basi, different opinions [emoji28][emoji28][emoji28]Hivi tunataka kushinda au?
Timu inacheza kama imeridhika na sare
Kmmk
Mama joy leo yupo Tanzania 😂😂😂Mama Joy leo anashangilia Tanzania
Wachambuz Supersport hawaamin kua tunacheza mpr lkn kwny box hatufanyi chochote cha maana.
Yan imekua kama na sisi tunahitaj draw kupita.