Huyu anakuja kuziba nafasi ya mtu pale MsimbaziNdalaaaaaaa.
Mm niliwaambia hapa hawa Namibia wakileta mambo ya Stars vs Zambia yatawakuta.
Yamewakuta.
Walianza slowwww .Sio poa hawa Angola ni WA moto
Mabululuu anakiwasha leoForever and always 🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤠
Iiiiiigggweeeeeeeeeeeee
Mi nimezielewa jersey zao.Kwahii mechi nishachagua kushabikia Angolaaaaa 🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸!
Igweeeeeeeeeeeeehh 🤸🤸
😁😁😁😁Namibia na Taifa StarsView attachment 2884877
Utakua mwana 5imba weyee😁!Mi nimezielewa jersey zao.
Ila sema hakutumia akili pale.Kacheza foul akiwa na Yellow.
Kamkata Mabululu refa kamuongezea Njano nyngne.. Na yy kaenda angalizia game dressing room kwny kideo.
Mna hela ya kumlipa mkuu.Huyu anakuja kuziba nafasi ya mtu pale Msimbazi
Mwananchi + GunnersUtakua mwana 5imba weyee😁!
Ipo ,video ya Mara ya pili walivyorudia tu hawajaonyesha vizuriHivi wenzangu kuna physical contact yeyote mmeiona kwenue hili tukio iliyofanyika kati ya huyu mchezaji aliyepewa kadi nyekundu?
Kwanini asilipike?Mna hela ya kumlipa mkuu.
Anacheza Qatar kwa waarabu kutoa hela sio shida.
Nyie vilabu vyenu ivi mnaweza kutoa mzigo wa maana?
Kwa juu hawakugusana ila Kwa miguu waligusana naHivi wenzangu kuna physical contact yeyote mmeiona kwenue hili tukio iliyofanyika kati ya huyu mchezaji aliyepewa kadi nyekundu?