Pira tamuNyongeza ni Dakika 6
Mm sijui mkuu.Kwanini asilipike?
unajua Ayoub Lakred anakula ngapi?
Mda bd lkn maana saiv wako sawa.Nimeweka G G both teams scires nahisi kama napigwa.
Best loser π πHawa Namibia walipitaje hapa
π€£π€£Nimeweka G G both teams scires nahisi kama napigwa.
Bongo hamna timu ya kumlipa yuleMm sijui mkuu.
Nakuuliza tu mna hela ya kumtoa kwa waarabu au mnaleta tu porojo za uSiimba na Yanga.
Qatar anakula hela nzr kumshawishi kutoka pale lzm uweze mlipa zaid ya iyo.
Namibia kupata goli ni ngumu sana kwa kweli.Mda bd lkn maana saiv wako sawa.
Mna ji under rate sanaBongo hamna timu ya kumlipa yule
Kwa mipango yao inaonekana ni ngumu kweli.Namibia kupata goli ni ngumu sana kwa kweli.
Mpira mtamu sana japo chama lako linazinguaHT
Angola 2 - 0 Namibia
watoto hawamini kilichowatokeaGelson Dala[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Sio kuji under rate huo ni ukweli mchungu.Mna ji under rate sana
Na bado kipindi cha pili tunawaongezaa!watoto hawamini kilichowatokea