Amenikumbusha mambo ya henry 14 way back ilikuwa ndio migoli yake hiiSema hilo goli la 3 bonge Moja la goli na la kiufund zaid
Game ya kwanza tuliwaotea TunisiaSerious question, Namibia wakifikaje huku?
Upuuzi wa Best LoserSerious question, Namibia wakifikaje huku?
Ndo maana tunataka wote waishie hapa.. Twende robo na watu serious tuUpuuzi wa Best Loser
Wako vizuriHawa Angola ukija kichwa kichwa na team yako ya unga mwana ukajaa vzr utajazwa.
Wana watu wazr sana ukianza na Captain wao(Fredy) .. Dala mwnyw na mtu mzima Mabululu mwnyw wana team fulan ivi wanajua kuonana vzr.
Ile ni Impossible angle alafu kipa alikuwa kajaa kulekule upande wa kushotoAmenikumbusha mambo ya henry 14 way back ilikuwa ndio migoli yake hii
watu wapo kazini Angola ni taifa la soka na je wachezaji wa Europe wenye Asili ya Angola kama kina Rafel Leao Godi Gapko wangeamu kurudi si balaa tupuSerious question, Namibia wakifikaje huku?
Labda ile ya MkonoHivi wenzangu kuna physical contact yeyote mmeiona kwenue hili tukio iliyofanyika kati ya huyu mchezaji aliyepewa kadi nyekundu?
🤣🤣kwanini?Shalulile unaweza muwekea No goal ikatoa,,
Huyu hata penat anakosa
Waliwajaza BukinabeWako vizuri
Ukishakuwa best looser unategemea nini ndugu.Hawa Namibia walipitaje hapa
Kweli mkuuNdo maana tunataka wote waishie hapa.. Twende robo na watu serious tu