2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

IMG_9621.jpeg
 
Fala Mabululu kaenda kabisa kazungusha ndizi yan.

Huyu boya mpr anajua... Tangu namfatilia game ya kwnz ya makundi.. Huyu jamaa mpr anajua.
Yes game ya kwanza jamaa alianzia Sub. Kocha akaona mbele makali hakuna akatoa mtu mapema sana. Akaingia Mabululu na alibadilisha mpira sana Angola [emoji1029] wakawa hatari sana.
 
Kbs mkuu.. Had leo kocha akajiona ni falaa akawa anaanza kbs ss.

Jamaa kila kitu utakacho ulzia kwa mchezaj anacho.

Agent wake akiwa mjanja anamtoa Egypt anampeleka hata Saudi kula hela nzr kbs jamaa mzr au hata France huko
 
Back
Top Bottom