Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
Mabululu ni mtu mbad!Ile ni Impossible angle alafu kipa alikuwa kajaa kulekule upande wa kushoto
lkn mnyama MABULULU kamnyoosha kulekule noma sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabululu ni mtu mbad!Ile ni Impossible angle alafu kipa alikuwa kajaa kulekule upande wa kushoto
lkn mnyama MABULULU kamnyoosha kulekule noma sana
Waende wakapumzke tubak na watu serious tu.Kweli mkuu
huyu gaidi anavaa skafu mpk uwanjani? kweli bongo nyoso
Yes game ya kwanza jamaa alianzia Sub. Kocha akaona mbele makali hakuna akatoa mtu mapema sana. Akaingia Mabululu na alibadilisha mpira sana Angola [emoji1029] wakawa hatari sana.Fala Mabululu kaenda kabisa kazungusha ndizi yan.
Huyu boya mpr anajua... Tangu namfatilia game ya kwnz ya makundi.. Huyu jamaa mpr anajua.
Atalala hoiiiiHyu kipa watamuua aisee duuhh
Kbs mkuu.. Had leo kocha akajiona ni falaa akawa anaanza kbs ss.Yes game ya kwanza jamaa alianzia Sub. Kocha akaona mbele makali hakuna akatoa mtu mapema sana. Akaingia Mabululu na alibadilisha mpira sana Angola [emoji1029] wakawa hatari sana.
Atalala hoiiiiHyu kipa watamuua aisee duuhh
Huwez kumfunga Namibia na Timu lako bovuHawa Namibia wakucheza na taifa stars wanakula nyingi aisee team ya hovyo saaaanaaa!