Ndombe Mubele
JF-Expert Member
- May 19, 2019
- 242
- 529
Alikua anafundishwa na Zoran Maki Yule kocha wa Simba Aliyetuletea yule beki Mohamed QuataraNimeona yuko team moja ya Egypt inaitwa Al-Ittihad Alexandria.
Source:SOFAScore.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikua anafundishwa na Zoran Maki Yule kocha wa Simba Aliyetuletea yule beki Mohamed QuataraNimeona yuko team moja ya Egypt inaitwa Al-Ittihad Alexandria.
Source:SOFAScore.
Onana yupo Afcon ila akili yake Iko Man united hapo angeweza kufungisba makusudi Ili watolewe arudi zake england Kiufupi Song Ana Akili isitoshe anatetea kibarua chakeKocha ana akil kdg pa1 kocha naye ni mbovu vile vile.. Lkn onana Akae bench hapo hapo awe cheerleader tu.
Ni sawa, nimeona pia.Nimeona yuko team moja ya Egypt inaitwa Al-Ittihad Alexandria.
Source:SOFAScore.
Huyu kijana hana akil kbs... Mm nashangaa kwnn mwanae Eto'o anambeba beba hana chochote special tangu kwnz aende Man u onana kawa Average goalkeeper.Onana yupo Afcon ila akili yake Iko Man united hapo angeweza kufungisba makusudi Ili watolewe arudi zake england Kiufupi Song Ana Akili isitoshe anatetea kibarua chake
Cameroon haepuki kipigo leo, hata akae nani golini.Onana yupo Afcon ila akili yake Iko Man united hapo angeweza kufungisba makusudi Ili watolewe arudi zake england Kiufupi Song Ana Akili isitoshe anatetea kibarua chake
Pa1 zote ni team za kawaida.TUJUANE MAPEMA [emoji1184] NIGERIA VS [emoji1062] CAMEROON KILA MTU ACHUKUE UPANDE WAKE WEKA BENDERA YAKO
Ile mechi ya Senegal on target za Senegal zilikua 3 na zote Kambani alafu game na guinea alikua analalamika kwanini hajapangwa wakati alitumia ndege binafsi Toka england Hadi ivory coast Ili awahi mechiHuyu kijana hana akil kbs... Mm nashangaa kwnn mwanae Eto'o anambeba beba hana chochote special tangu kwnz aende Man u onana kawa Average goalkeeper.
Ego ya Onana imekua kubwa sana kuliko kiwango chake.. Ngj asugue mbao.
Etoo hana ushikaji wowote na Onana, aliwahi kufanya jamaa aikache team.Huyu kijana hana akil kbs... Mm nashangaa kwnn mwanae Eto'o anambeba beba hana chochote special tangu kwnz aende Man u onana kawa Average goalkeeper.
Ego ya Onana imekua kubwa sana kuliko kiwango chake.. Ngj asugue mbao.
Onana ana makosa sana golini na kocha nae anatetea kibarua chake hapo Onana akipangwa alafu wakafungwa kocha atafukuzwa huyu ila Onana anaendelea kula maisha cameroonKocha kumuweka nje onana sio sawa
Gerd muller 13Ukiisha Vaa Jersey namba 13 ujue basi ni Mkosi balaa. Najua utakataa lakini fuatilia wachezaji wanaovaa Jersey namba 13.
Mfuatilie Michael Ballack na timu yake ya Germany [emoji629] utaelewa
Huyu mm nisinge hata muita hana mchango wowote zaid ya kuleta matabaka kambini.Ile mechi ya Senegal on target za Senegal zilikua 3 na zote Kambani alafu game na guinea alikua analalamika kwanini hajapangwa wakati alitumia ndege binafsi Toka england Hadi ivory coast Ili awahi mechi
Diarra is better than onanaHuyu kijana hana akil kbs... Mm nashangaa kwnn mwanae Eto'o anambeba beba hana chochote special tangu kwnz aende Man u onana kawa Average goalkeeper.
Ego ya Onana imekua kubwa sana kuliko kiwango chake.. Ngj asugue mbao.
Dah [emoji23]Diarra is better than onana