Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Sasa mkuu chukua hii hlf fatilia.Etoo hana ushikaji wowote na Onana, aliwahi kufanya jamaa aikache team.
Ambae anampa onana kiburi ni Eto'o na hakuna mwngne.. Song alikua ashatemana na Onana kitambo tangu mambo ya Onana kumpangia Song namna ya kucheza kipind kile kwny WC.
Ndo Eto'o kuingilia kati lile sakata na kumshawishi Song ambaye pia ni mwanae afunike kombe mwanae arudi.. Na yote kwa sbb onana kapita Academy ya Eto'o.
Ww fatilia utajua kwnn onana karud kwny team.