Kweli aiseehawana timu timu bovu sana
Mkuu mapema sana kuongea maneno hayahawana timu timu bovu sana
kimetokea nini pale?Goal limekataliwa
ila chuma kupigwa lazima msiba unacheleweshwa tu kifo kipo pale paleoffside hii
Hata huyu ONDOA hamna kitu hapo golini.Sasa mkuu chukua hii hlf fatilia.
Ambae anampa onana kiburi ni Eto'o na hakuna mwngne.. Song alikua ashatemana na Onana kitambo tangu mambo ya Onana kumpangia Song namna ya kucheza kipind kile kwny WC.
Ndo Eto'o kuingilia kati lile sakata na kumshawishi Song ambaye pia ni mwanae afunike kombe mwanae arudi.. Na yote kwa sbb onana kapita Academy ya Eto'o.
Ww fatilia utajua kwnn onana karud kwny team.