Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Liwalo na Liwe wamekutana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manyumbu wanalikubaliHamna kipa pale.
sheria ya offside ipo wazi, ni offside kongole var teamOffside? Wanaangalia kipa aisee...
Miaka 32 ya pasipoti bado ile yenyeweEti V. Aboubakar ni kibabu
Unasema miaka 52 ya pasipoti ? ( In nyakyusa voice )Miaka 32 ya pasipoti bado ile yenyewe
Nimeweka mkeka wangu wa Gg nawasubir tuu hawa asubuhi ninywe supu chapatHii game naiona sare matuta yataamua
Ngoja simu iishiwe charge. Unamkumbuka tu.Tanesco wanaringa na umeme wao, Dstv stream ndo mkombozi kwasasaView attachment 2885091
Yes ni yeyeNimemuona jukwaani mtu kama Raymond Domenich kocha wa zamani wa Ufaransa
YesYan ukiona refa kaenda kwny monitor maamuz ya mwanzo yana asilimia karbia 90 kubadilika.
Michezaj inatumia nguvu nyng hakuna hata ladha za Akina za kina DALA na MABULULUHii game butua butua sana litakua
Walisemwa vibaya sana na Boss wao Etoo baada ya kula chuma 3 kutoka kwa Senegal [emoji1211]Ila Cameroon wapo kinyonge sana