2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Nikisema Osimhen ni mchezaji wa kawaida nitakuwa nakosea? Toka nimeanza kumfuatilia, ukiacha highlights zake za Youtube bado hajanishtua.

Habib Kyombo angekuwa na juhudi, bahati na connection hana tofauti na huyu jamaa.
 
Nikisema Osimhen ni mchezaji wa kawaida nitakuwa nakosea. Toka nimeanza kumfuatilia, ukiacha highlights zake za Youtube bado hajanishtua.

Habib Kyombo angekuwa na juhudi, bahati na connection hana tofauti na huyu jamaa.
Sometimes mchezaj anahitaj system kuweza kucheza na kushine sometimes mchezaj anahitaj kucheza na watu wny akil Timamu kuweza na yy kua na akil Timamu.

Nigeria ya sasa ni unga unga mwana.. Kwhy usishangae Osimhen akawa yy yupo class ya kivyake na wenzie wako chini sana.

Izo possibility zote zinawezekana.
 
Nikisema Osimhen ni mchezaji wa kawaida nitakuwa nakosea? Toka nimeanza kumfuatilia, ukiacha highlights zake za Youtube bado hajanishtua.

Habib Kyombo angekuwa na juhudi, bahati na connection hana tofauti na huyu jamaa.
wew una mchezo kweli leo osimeh unakuja kulinganisha uchafu huo wachezaji wako wa timu ya taifa wanaocheza ligi za ulaya wameshindwa kufunga hata goli moja wameondoka na pumbu zao tu osimeh had mda huu ashafunga Goli moja unakuja kulinganisha uchafu wa mtibwa sjui kwanza msimu uliopita uliangalia ata mechi moja ya Seria A ya Napoli maana kwa maelekezo yako inaonekana hata huwaj tazama mechi yake hata moja
 
Back
Top Bottom