Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
AngolaHuo mpira wa bahat upo bongo tuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] uko watu wanaonyesha uwezo
Ndo maana Afcon hii Kuna wachezaj wengi wameonyesha wana kitu hasa hz Timu ndgo
Kuna mwamba Eti.. anawaitaKwa ufup ni weupe kbs yan weupe team zote izi.
Wanacheza ilmrad liende.
[emoji23]Hakika.Ku
Kuna mwamba Eti.. anawaita
Linalo na Liwe[emoji1787]
Sio makosa yake mkuu jarb tu kumuelewa kua yy anaelewa ivo basi.Wewe ni wa kupuuzwa
Mkuu tumefika huku🤣🤣🤣🤣Swali zuri sidhan kama kuna mtu mwny akil timamu wa kufikisha mpr kwake.
Kuna watu haina yao ya ubishanaji tu unajua hatak kuelekezwa basi unamuacha.Mkuu Jaribu kuielewa sheria ya offside kwanza kabla hujaja kubishana hapa ile ni offside clear kabisa wala sio suala la wachambuzi wabongo au ulaya ile popote pale ni Offside
Mkuu tumefika huku🤣🤣🤣🤣Swali zuri sidhan kama kuna mtu mwny akil timamu wa kufikisha mpr kwake.
Jamaa sijui hata kama anaelewa anachobishaWewe ni wa kupuuzwa
[emoji23][emoji23]Hamna kitu nakwambia.Mkuu tumefika huku[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli Cameron limebak jina
Hajui chochote na bado anabishaJamaa sijui hata kama anaelewa anachobisha
Cameroon anatagemea mipira ya set pieces ndo waje wapate goal la bahat nasibu la kichwa.Mkuu tumefika huku[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli Cameron limebak jina
Tena anaweza tolewa kwa Aibu, Kipigo Heavy[emoji23]Hakika.
Hawa akipita m1 wao anakutana na Angola na mashaka sana watatolewa.
Nimemuona mzee. Anayeorogwa na familia yake[emoji23]Adebayor yupo jukwaani
Ndio magoli Yao hawa ya vichwa hawa katka mabao matano waliyofunga manne ya vichwaCameroon anatagemea mipira ya set pieces ndo waje wapate goal la bahat nasibu la kichwa.