Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Ndo hcho wanasbr bahat nasibu za design iyo.Ndio magoli Yao hawa ya vichwa hawa katka mabao matano waliyofunga manne ya vichwa
HatarUkiisha Vaa Jersey namba 13 ujue basi ni Mkosi balaa. Najua utakataa lakini fuatilia wachezaji wanaovaa Jersey namba 13.
Mfuatilie Michael Ballack na timu yake ya Germany [emoji629] utaelewa
Yupo kama samatta 😂🤣🤣kwanini?
Hapo wanasema muingizee Abuuu mtoe huyo mzungu uchwaraKocha msaidizo anapokea simu akiwa kwenye benchi bila shaka ni ya Etoo🤣🤣
Polee mkuu.Duh wazee leteni update aisee huyu mama nchi imemshinda yaani Leo kakata umeme mara 3 mechi ya kwanza sijaona yote na hii ya pili kipindi cha pili umeme umekata inasikitisha sana
[emoji23]Ya maelekezoKocha msaidizo anapokea simu akiwa kwenye benchi bila shaka ni ya Etoo[emoji1787][emoji1787]
Naaaam🤣🤣🤣[emoji23]Ya maelekezo
Soka la africa kivyetuvyetuHapo wanasema muingizee Abuuu mtoe huyo mzungu uchwara
Eto'o muache aruke ruke tu uchaguz ujao wajumbe wanakula kichwa.Naaaam[emoji1787][emoji1787][emoji1787]