Yeah akili sio yake tenaKabisa inapaswa kocha amtoe lazima ni kama yale ya Percy tau
Hakika kocha kamtoaKocha anabid amtoe hawezi tena kufocus
🤣🤣🤣Yeah akili sio yake tena
[emoji23]Mtangazaji jau sana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtangazaji anasema “ndevu anaziona kama furushi la mzigo”
Yanii mzigo sio kidogo 😂😂🤣🤣🤣
Mtangazaji anasema “ndevu anaziona kama furushi la mzigo”
Ni rahisi kuhukumu ila hatujui hesabu zake zilikuwaje?Umemtishia Keeper na kaenda ulipotishia hata kabla hujapiga. Kinachosababisha ukose ni nini?
Mali vs Burkina FasoZipi hizo ndugu.
Mie najua
1. Angola vs Namibia
2. Nigeria vs Cameroon
Kipa kasimama vyemaKuna mtu atalambwa kipindi cha lala salama muda sio mrefu