Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waneshindwa kuwafungua wapinzani wao naona ukuta upo tightGuinea wametimia lakini hawana maajab
Ikweta wapo pungufu lakini hawapo kinyonge
Refa hana mudaaa wajiangushe eneo la hatari yeee walaaaaHuyu Salavador wa EQG yupo kama Morisson anatafuta kufanyiwa faulo kwa udi na uvumba
Anawaza BundersligaNaby Keita anaanzia benchi!
Ulaya wanaipenda kuliko AfricaHuyu Guirassy wa VFB Stuttgart ndo mfungaji bora namba mbili Bundesliga kazidiwa na Kane tu. Lakini anachokifanya huku AFCON hata sielewi, hawa wachezaji hua wanalogwa ama hua wanafanya maksudi?!