Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #6,221
HawatakiwiHawa weupe wana dalili ya kufunga
ngoja tuone
TBC 2🤣🤣🤣
Mtangazaji anasema “ndevu anaziona kama furushi la mzigo”
Hii TBC1 mkuuTBC 2
Ndio kitu nnachokionaHawa mafala wanaweza kutupeleka 30 zngne.
Atakaepita hapa quarter finala lazima atolewe.Hawatakiwi
Sioni timu inayofungua timu nyingine japo guinea ikweta inajitahdGuinea ya Ikweta wataweza kweli kushikilia bomba?
Equatorial Guinea.Atakaepita hapa quarter finala lazima atolewe.
Naona wapowapo tu
Guinea wametimia lakini hawana maajabSioni timu inayofungua timu nyingine japo guinea ikweta inajitahd