Hakika[emoji817].Ni Clear penalty hata wao Congo walipata Penalth kama hiyo kwa msaada wa VAR dhidi ya Morocco akichezewa faulo Henock Inonga
Imechangiwa na Hegaz kujiliza na kugaragara. Mpira umekuwa mgumu sana.Mkuu zama za VAR hizi ile penalty halali kabisa.
Ndo tatz kubwa sana yan radha ya ule mpr wa ubishani na matukio ya utata inapotea.
Yan dunia yetu ya technology hii inatupeleka kasi. Sana na kuna radha ya mpr inaondoa.
Ww foul nyepes nyepes tu siku izi zinafunikwa matuta.
Sipingi ile kwl kampa mkono usoni kbs.Ni penati halali mzee babaa, kile kikofi sio mchezo
Imechangiwa na Hegaz kujiliza na kugaragara. Mpira umekuwa mgumu sana.
πππππImechangiwa na Hegaz kujiliza na kugaragara. Mpira umekuwa mgumu sana.
Daaahπ€£π€£π€£Kujiliza ni haki yake, wewe ukipigwa ngumi ya uso hutajiliza?
Daaahπ€£π€£π€£
π π π kwamba ni ngumu kujikaza.Mtu upigwe kiwiko au kofi la uso utaachaje kuumia, basi wamekua maroboti!
Merci BeaucoupMaji yamezidi unga mazee mtanipa matokeo kesho!
Kila la kheri Bamutu Bakongo π
Mimi kwa upande wangu naona VAR ni teknolojia nzuri wala sijaona kama inaondoa radha ya mpira.Ndo tatz kubwa sana yan radha ya ule mpr wa ubishani na matukio ya utata inapotea.
Yan dunia yetu ya technology hii inatupeleka kasi. Sana na kuna radha ya mpr inaondoa.
Ww foul nyepes nyepes tu siku izi zinafunikwa matuta.
ππππNaona Wachambuzi wa DSTV hapa wanasema Lile Goli la Congo, Mpira ilibidi urushwe kuelekea Congo, ila Masuaku akarusha Haraka haraka, Ndio maana Mafarao wakawa wanapiga Mayowe
Merci Mon ami! Bonne nuiteMerci Beaucoup
Na Inabidi kujitahidi Kumaliza Mechi ndani ya DK 90, Maana Matuta Hawa jamaa Kipa Lao lile ni Kama Jini.Kipindi cha pili namkanda huyu mwarabu