2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Ni penati halali mzee babaa, kile kikofi sio mchezo
Sipingi ile kwl kampa mkono usoni kbs.

Pa1 siku izi nao wachezaj wanajua sana kudramatize situations kama zile maana wanajya ukianguka tu lzm ikaangaliwe na ikiangaliwa una nafas ya kuipa team tuta.

Sometimes wachezaj izi technology zina wa encourage sana kufanya cheating akiguswa tu analeta drama kibao kama katak kuuliwa vile.
 
Naona Wachambuzi wa DSTV hapa wanasema Lile Goli la Congo, Mpira ilibidi urushwe kuelekea Congo, ila Masuaku akarusha Haraka haraka, Ndio maana Mafarao wakawa wanapiga Mayowe
 
Ndo tatz kubwa sana yan radha ya ule mpr wa ubishani na matukio ya utata inapotea.

Yan dunia yetu ya technology hii inatupeleka kasi. Sana na kuna radha ya mpr inaondoa.

Ww foul nyepes nyepes tu siku izi zinafunikwa matuta.
Mimi kwa upande wangu naona VAR ni teknolojia nzuri wala sijaona kama inaondoa radha ya mpira.
 
IMG_9657.jpeg
 
Back
Top Bottom