Hapana, njia nyepesi Conakry wakawaida tuIla game ijayo anatolewa Congo asubuhi tu
Wanataka kutuletea mambo ya MlandegeHizi timu zilivyo za kijinga zinataka kuendelea kusonga mbele kwa kutoka sare tu? Maana tangu waanze wao ni sare tu hadi hapo walipo.
Ova
Muandaaji hana timu anapotea mapema tuBaadae senegal na ivory coast msitufanyie km congo na egypt tafadhali mana kushakucha ss na asbh ni kazini
Congo mwenyewe analeta pigo za mlandegeWanataka kutuletea mambo ya Mlandege
Akitolewa watafanya sn fujo, inabid ulinzi uimarishwe sn.Muandaaji hana timu anapotea mapema tu
Kwa sheria za football hapo ni sawa na musterbationHongera Inonga. Umekuwa mchezaji wa kwanza wa Ligi kuu kufunga goli
Lakini tumeishia kupostiwa na CAF wakisema “we miso misondo umepigaje hapo”Watanzania kila mtu ni kocha na ni mchambuzi .
Kumbe huwa mnaanza kuwakataa wenyewe?haya ndugu zangu wabantu, tumebakiza mwarabu mmoja tu ambaye ni morocco.
siku ya game tuungane wote kwa pamoja kusapoti south.
nauliza Morocco tumfanye niniiiiiiiiiiii?
Mkuu tueleweshe hizo taarifa alikuwa anazipataje?Kumbe Yule Gabaski Afcon iliyopita Alikua anachupa Ina Taarifa za Kila Mpigaji Penalt na Upande anaopendelea Kupiga, Mechi ya Leo naona Hakua na Hizo taarifa Na Ndio Maana Akajiamulia Penalt zote Aruke upande mmoja Kama Akikumbana Nayo Sawa. Hongera Ba mutu ba Congo.
IV weupe sana tena kesho wasipokuwa makini wanawekwa mkonoGemu za kesho zote kali Mauritania anaweza akafanya maajabu akamtoa Cabe Verde Ila gemu kali ni Senegal na Ivory Coast kesho Ivory Coast watang'oa viti maana lazima wafie uwanjani na Senegal lazima wapite
Tunza hii usiseme sikusema Mauritania atamshamgaza Cabe Verde Ila Ivory Coast atagongwa vibaya pamoja na kwamba yupo kwao
Cc Aden RageHongera Inonga. Umekuwa mchezaji wa kwanza wa Ligi kuu kufunga goli
Mambo yao tuwaachie wenyewe[emoji1544][emoji1544][emoji1550][emoji28]Game hii na misri no hatari tupu ila Congo coach analeta ubutu kwenye kufanya sub za maana,
Let's wait and see
Umesahau alipewa chupa ya maji ndani ina karatasi inayoonyesha kila mpigaji anapenda kupiga upande upiMkuu tueleweshe hizo taarifa alikuwa anazipataje?
😂🤣Hata Gaboksi haogopeki tena😀👐
View attachment 2886652
😂🤣🤣Huyo hamna kitu mlikuwa mnamsifia bureHuyu golikipa kisiki wa Misri ndiye kawachoma wenzie
Mweupe kweli kweli!