2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Hata Gaboksi haogopeki tena😀👐
255674835068_status_57677df34b4d4813bd51132e78a0f1cc.jpg
 
Kumbe Yule Gabaski Afcon iliyopita Alikua anachupa Ina Taarifa za Kila Mpigaji Penalt na Upande anaopendelea Kupiga, Mechi ya Leo naona Hakua na Hizo taarifa Na Ndio Maana Akajiamulia Penalt zote Aruke upande mmoja Kama Akikumbana Nayo Sawa. Hongera Ba mutu ba Congo.
Mkuu tueleweshe hizo taarifa alikuwa anazipataje?
 
Gemu za kesho zote kali Mauritania anaweza akafanya maajabu akamtoa Cabe Verde Ila gemu kali ni Senegal na Ivory Coast kesho Ivory Coast watang'oa viti maana lazima wafie uwanjani na Senegal lazima wapite

Tunza hii usiseme sikusema Mauritania atamshamgaza Cabe Verde Ila Ivory Coast atagongwa vibaya pamoja na kwamba yupo kwao
IV weupe sana tena kesho wasipokuwa makini wanawekwa mkono
 
Back
Top Bottom