GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Shida yako Uyanga unakusumbua pamoja na Ushamba na hapa ulichokuwa ukikitaka ni Mayele aingie na hakuna kingine.Game hii na misri no hatari tupu ila Congo coach analeta ubutu kwenye kufanya sub za maana,
Let's wait and see
Wangeanza kurudiaHivi ingetokea penati zingefika kumi moja misri angepiga nani na wapo pungufu😄😄
Ila game ijayo anatolewa Congo asubuhi tu
Game hii na misri no hatari tupu ila Congo coach analeta ubutu kwenye kufanya sub za maana,
Let's wait and see
Hao ni mutu moyaKumbe na congo hivyo hivyo hawajashinda hata 1 ndani ya dk90
kisa mayele kapigwa bench ndo atakipate kochaaaa?????? wachambuzi uchwara banaaahGame hii na misri no hatari tupu ila Congo coach analeta ubutu kwenye kufanya sub za maana,
Let's wait and see
Ulikua unafanya research? Data zimetosheleza?Confirmed kumbe wewe ni ke.
Mweupe kama rimu pepAHuyu golikipa kisiki wa Misri ndiye kawachoma wenzie
Mweupe kweli kweli!