2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Congo DR ambao wamewahi kuchukua kombe la AFCON mara mbili, leo wamefanikiwa kuingia robo fainali ya AFCON 2023 kwa kuitoa Egypt kwenye penati 8-7.

Wakati Egypt wakiwa ni Mabingwa wa kihistoria wa AFCON wakilibeba kombe hilo mara 7 ambazo ni mara nyingi kuliko Taifa lolote, Congo wao wamewahi kulibeba mara mbili ambapo mara ya kwanza ilikua ni 1968 wakiitwa Congo Kinshasa na mara ya pili mwaka 1974 wakiitwa Zaire.

#Unauzungumziaje unyama wa Congo
 
[emoji23][emoji23][emoji23] inonga kwenye penalt ana kitete sanaa.
Kwanza alivyokuwa anaangalia ule mpira nikawaza huyu anaweza wachomesha wacongoman
Wachezaji wa timu za tz hawaaminiki

Jamaa alifunga vzr sana,hakutaka kupindisha pindisha miguu.

Angejichanganya tu aipindishe sijui itue wapi,angewachoma.

Makipa ni weupe sana,unapiga tu kati na unapata.
 
Kwan angekosa hiyo penalt, afu Congo ikatolewa mbona lawama zote angebeba yeye. Afadhari kapataa

Kwan mayele hakupiga penalt?
 
Kwanza alivyokuwa anaangalia ule mpira nikawaza huyu anaweza wachomesha wacongoman
Wachezaji wa timu za tz hawaaminiki

Jamaa alifunga vzr sana,hakutaka kupindisha pindisha miguu.

Angejichanganya tu aipindishe sijui itue wapi,angewachoma.

Makipa ni weupe sana,unapiga tu kati na unapata.
Kunq makipa wengine wanakariri wanajua mtu akitumia mguu wa kushoto uelekeo wa mpira ni wapi
Makipa wengi wanaruka sana upande wa kushoto
 
Back
Top Bottom