2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Kunq makipa wengine wanakariri wanajua mtu akitumia mguu wa kushoto uelekeo wa mpira ni wapi
Makipa wengi wanaruka sana upande wa kushoto
GABOKSI ameruka penalty zote kulia hakuna hata moja aliyoruka kushoto na penalty zote walizofunga Congo wamepigwa kushoto Gaboksi anaruka kulia km mtoto yaan pale alipokosa penalty naona kaenda kulia kwa Mama yake 🥺
 
Santo sana!

Kweli Mungu wangu ana nguvu sana Iiiiiigggweeeeeeeeeeeee

uran The Lastdream atold you hajawahi niangushaaaaaaa Naombeni mkeka wa leo nione upepo kwanza


cc Smart911
Screenshot_20240129-110217~2.png

All the Best Cabo Verde.

The other Two.

kila la heri yoyote.
 
Back
Top Bottom