Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Aloo kumbe tuko wengi, mwenyewe ndio nimejua juzi kwamba Peter Shalulile ni Mnamibia, hilo jina lake la mwisho limekaa Kiafrika kusiniHahahaaa. Umenikumbusha kitu Mkuu baada ya kuitaja Mamelody ujue mie siku zote najua Shalulile ni MSouth Africa nilikuja kushangaa kumbe ni mNamibia. Lol.