Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Ahsante Mkuu....Mauritania Vs Cape Verde saa 2:00 usiku
Ivory coast Vs Senegal saa 5:00 usiku Mkuu
Doh!!! Kwanini mechi zenye amsha amsha nyingi zimepagwa usiku hivyo jamani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante Mkuu....Mauritania Vs Cape Verde saa 2:00 usiku
Ivory coast Vs Senegal saa 5:00 usiku Mkuu
Kwanini usishabikie MoroccoHaya jamani, leo mapemaaaaa nataja timu zangu.
Mauritania japo nina wasiwasi na Senegal ambao ni uhakika.
Kwani ajabu yake nini, kuna timu zimejipanga bwana, kwani tulitegemea Algeria na Egypt kutolewa! Bila kumsahsu The Giant of Afrika Morocco! Unaweza kushangaa Cape verde au Mauritania wanatwaa ubingwa.Senegal Leo akitolewa 😂🤣 hili kombe litakuwa la maajabu😂🤣
Morocco ni kesho na nitaishabikia South Africa na Mali.Kwanini usishabikie Morocco
Kiukweli sijawahi kuwaelewa South Africa kiuchezaji. 😂😂Morocco nae atatoka huyo anamcheza na watato wa kizulu wanagonga pasi walee
Kweli kabisa.Ni kweli hajaendana nayo kabisa, katika timu yao niliona ni Shalulile tu na yule Hotto wa Orlando Pirates ndio walikuwa wanajitahidi kupambana wafunge sema wenzao ndio walikuwa wanawaangusha, kwenye hizi timu za taifa magarasa mengi sana ukifuatilia wengi ni wale wanaochezea club ndogo na league ndogo wanaochezea club kubwa na league kubwa wanahesabika
😂😂Uganga umeanza lini kilinge chako Kiko wapii😂🤣
Kila la kheri.Huu mwaka tunabeba mkuu😃
Tutashangaa sana yaani.Senegal Leo akitolewa 😂🤣 hili kombe litakuwa la maajabu😂🤣
Sijui wataweka wapi sura zao Leo wanacheza wao naona aibu mimi😂😂😂😂😂😂!
Kama wenyeji hawana budi kukaza wasiliaibishe taifa
Lasivo mijerediiiiii
Senego kutolewa mpaka drogbA apeleke kibahasha kwa Mke wa sadio maneTutashangaa sana yaani.
Yaani kuna wachezaji cjui wanacheza vipi huko mbele na wamefikaje?!!Mayele hakucheza mpira jana
Angekosa kwa kweli tungemlaumu sana,kumbuka penati za nyongeza,Misri washapata yao,,wanawangoja wacongoman.
MESHACK kacheza baba yake haji manara atulie huko hukoTuongee na mo
Yule meshack elia aletwe pale mbet fc
Na yule guima😂
Yn hta kuotea upande ameshindwa jmnGolikipa kisiki kiazi kweli kweli
Heri angelenga kipa adake
Ndio huyu walisema mzuri sana kwa mikwaju..nikajua ni kama kipa la Morocco na Argentina.
Mweupe jamaa,hata Manula anamzidi kudaka mikwaju.
KabisaAkitoka Afcon inaishia hapa... Wanatoka na kombe😂
😂🤣Poti vipi tena! Unajiliza nini wakati mmeshinda!
Hlf kwny timu yake ya taifa anaruka ruka tu. Michuano hii hajafunga hta goli moja lohHahahaaa. Umenikumbusha kitu Mkuu baada ya kuitaja Mamelody ujue mie siku zote najua Shalulile ni MSouth Africa nilikuja kushangaa kumbe ni mNamibia. Lol.
Ili kusudi Mechi ikiisha unampigia mechi nyingine kuanzia sebleni hio ndio maana yao, swali jingineDoh!!! Kwanini mechi zenye amsha amsha nyingi zimepagwa usiku hivyo jamani.
Na kwny mpira lolote linawezekana aisee.Senegal Leo akitolewa 😂🤣 hili kombe litakuwa la maajabu😂🤣