stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Watacheza wanavyocheza Ila kipigo kipo pale pale lazima watoke Senegal aendelee na hatua ya robo fainaliWatacheza na presha kubwa sana
Kwanza kuwaridhisha mashabiki
Pili, wapo nyumbani hawatataka aibu kubwa kuendelea kuipata😂😂
Leo sijui didierrr dirogba atakaaje