Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Ihefu kipa wao mzuri kuliko huyo kaba kisikiYaani kuna wachezaji cjui wanacheza vipi huko mbele na wamefikaje?!!
GABAKSI NI LEVO YA IHEFU AU MAJIMAJI BASI TU WANAMKUZA
Halafu jana kwenye taulo lako aikuwa na chupa ya maji ina kama kikaratasi ndani, kuna jamaa alisema gabaks alikuwa anapewa hints wapigaj watapga wapIhefu kipa wao mzuri kuliko huyo kaba kisiki
Yeye kazi yake ni kujidondosha tu upande anaotaka mwenyeweYn hta kuotea upande ameshindwa jmn
Unayoyasema ni mambo ya kusadikikaNa kwny mpira lolote linawezekana aisee.
Walimwakilisha waliochezaDuuuh haikua fair, mayele kutocheza aaah, jana nilikosa kutazama match.
Hahahaa! Hamna haikuwa bahati yake Mkuu kwani kama kupambana amepambana kiasi chake.Hlf kwny timu yake ya taifa anaruka ruka tu. Michuano hii hajafunga hta goli moja loh
πππ kwa kweeli.Senego kutolewa mpaka drogbA apeleke kibahasha kwa Mke wa sadio mane
Hivi mwana Yanga, kati ya Diarra na Aziz Ki ni yupi kati ya hao wawili ni pengo kubwa zaidi kwa Yanga kuelekea michezo ya ligi kuu keshokutwa?[emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweeli.
Usisahau mungu ambariki raraa rereeMungu mbariki Sadio Mane [emoji2969]
Mungu wabariki Senegal
BaelezeeDaaaaah mkuuu raraa reree unatembeza mikopa sio ya nchi hiiπ₯π₯π₯π₯π₯π€£π€£π€£π€£π€£ nisamehe mkuu imetosha sasa
Ukweli huu,,,hawaelewekiKiukweli sijawahi kuwaelewa South Africa kiuchezaji. ππ
Ila ngojeni tuone kesho.
Gabaski hakutumia kale kauchawi kakeWapi? Leo ndio Leo zote NDANI Leo hachomoi hata moja
Kauchawi? Kaishiwa pozi km pazia tu linarukarukaGabaski hakutumia kale kauchawi kake
Angerudia wa kwanza. Imewahi kutokea hivyo Cameroon vs. Ivory Coast. Wote waliisha wakaanza kurudia. Wakati wa kurudia kama sikosei Etoo alikosa tuta.Mwenye kujua zingefika penati kumi na moja misri angepiga nani walivokuwa pungufu
Nigeria hakuna kitu? acha masiharaNigeria hakuna timu pale, Angola anamuweka....! na final zinaingia senegal,Angola au cape Verde