2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Mpira wa Africa umepiga hatua kubwa sana kwasasa, kila mechi mpira unapigwa haswa hakuna team ambazo ni mchekea huku labda Tanzania yetu tu.

Ukifanya analysis kwa kuangalia majina ni lazima uachwe mdomo wazi.
 
Well connected, good defending, high passing accuracy, NO PRESSURE!

Taifa stars hawana uwezo wa kucheza kama Mozambique!
Wale wana professional players mkuu wanacheza timu za kueleweka, achana na wetu hujui hata anacheza wapi.
 
So far naona modern football toka mashindano haya yaanze kwa mechi nilizo tazama ukiondoa ya Nigeria
 
Pale kwa Egypt hakuna mpira wa ulaya.
 
Now Barcelona sio tena timu ya kutolea mfano kwa mpira mkubwa.

Vini kawachakaza vibaya mnooo na Rodryigo kaja kashindilia msumari wa moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…