Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #701
Black Stars hawaamini macho yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well connected, good defending, high passing accuracy, NO PRESSURE!Wale Msumbiji wanajua bwana mpira umetulia modern kabisa
Kweli mpira wetu wa papatu papatuWell connected, good defending, high passing accuracy, NO PRESSURE!
Taifa stars hawana uwezo wa kucheza kama Mozambique!
Kwa timu yeyote ile hata ambazo hazijachezaTaifa stars inaweza kupata matokeo kwa team ipi ambayo tayari imecheza?
Wale wana professional players mkuu wanacheza timu za kueleweka, achana na wetu hujui hata anacheza wapi.Well connected, good defending, high passing accuracy, NO PRESSURE!
Taifa stars hawana uwezo wa kucheza kama Mozambique!
Pale kwa Egypt hakuna mpira wa ulaya.Egypt ni timu nzuri kiufundi walichofanya wamakonde ni km surprise
Egypt ya kipindi cha nyuma ilikuwa inafundishwa na makocha wa ndani ( waarabu) na lile soka lao pasi za haraka haraka na kasi ilikuwa inawasaidia kuchukua ubingwa wa africa back to back ila kombe la dunia wakawa hawafuzu
Wakabadilisha mfumo wakawa wanaajiri makocha wakizungu ule mpira wa kasi ukajifia automatic wakashif kwenye kucheza mpira wa ulaya
Tutashinda chs msingi wachezaji wawe na mentality nzuri wasiingie kwa pressure ya ukubwa wa mpinzani wake.Kila nikiangalia haya mataifa yanavyoubonda naiwazia STARS YETU
Tena atakuwa kanda hizi hiziKuna hatari time hii Afrika tunapata bingwa ambae wengi hatukumdhania
Hii ni wishful thinking. Team yetu haina hiyo quality!Kwa timu yeyote ile hata ambazo hazijacheza
Acha niangalie matokeo yao nashindwa kuangalia mechi mbiliNow Barcelona sio tena timu ya kutolea mfano kwa mpira mkubwa.
Vini kawachakaza vibaya mnooo na Rodryigo kaja kashindilia msumari wa moto
Itoke tu sisi liver tufurahiEgypt haina maajabu wala haitafika robo naomba mtunze hii risiti
Itoke tu sisi liver tufurahiEgypt haina maajabu wala haitafika robo naomba mtunze hii risiti