Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Yeye ni kumwaga maji tuBebe kama waziri wa maji
Bongo tuachane kabisa na huu mchezo wa mpira wa miguuyawezekana nao unachangia umadikini na magonjwa ya afya ya akili
Sio vipaji vyeti tunalazimisha tuu
🔹 Nchi Ina watu zaidi ya milioni 60 lakini Haina vipaji vya mchezo wanaoulazimisha . Mauritania Wana idadi ya watu wasiozidi milioni 4 ,wachezaji wao Wana vipaji na maumbo makubwa
🔹Sisi tubaki kama ndugu zetu wa Bombay ma kanjubai ambao Wana idadi kubwa ya watu na uchumi mkubwa lakini hili tatizo lilikwisha washinda. Bora hata wao walipogondua hawaliwezi zigo hili wakajikita kwenye cricket. Sisi tunakomaa na fupa hili tuu
YanafAnyika hapa kwetu?AFCON itakayochezwa nyumban 2027 tutakua na team 2 Taifa Stars na Zanzibar heroes huenda tukafanya kitu mkuu
CV leo anatolewa wewe subiri uone maajabu ya mpiraJana umepatia leo utaumia nakushauri tu rudi kwa CV🤣
Ndio East Africa tutakua wenyeji baadhi ya game zitachezwa kwenye viwanja vya Bongo na ZanzibarYanafAnyika hapa kwetu?
Mauritania [emoji1163] watatolewa. Naona CV wanautulivu sana.CV leo anatolewa wewe subiri uone maajabu ya mpira
Tunawafunga leoLeo nipo Mauritania tukutane ubaoni baada ya dakika 90
Tukutane hapa mpira ukiisha tunza comment yako hivyo hivyo huu mpira wa leo utakushangazaMauritania [emoji1163] watatolewa. Naona CV wanautulivu sana.
Mkuu jana ulituambia Mayele anaondoka n farao anabakiMauritania [emoji1163] watatolewa. Naona CV wanautulivu sana.
Dah mnatutamanishaBeautiful game
Hapana mkuuUwataki CCM
Leo ndio mwisho wenu CV kesho mnafunga viragoTunawafunga leo
Aibu itakuwa ya karneNdio East Africa tutakua wenyeji baadhi ya game zitachezwa kwenye viwanja vya Bongo na Zanzibar